Watafiti wa Israel wanasema wametengeneza kuku waliobadilishwa vinasaba ambao hutaga mayai ambayo ni vifaranga wa kike pekee huanguliwa. Hatua hiyo inaweza kuzuia uchinjaji wa mabilioni ya kuku ...
Namibia imesitisha uagizaji wa kuku na mayai kutoka kwa jirani yake Afrika Kusini, katika kukabiliana na mlipuko mbaya zaidi wa homa ya ndege katika historia yake, serikali ya Namibia imetangaza siku ...
Utafiti mpya umebaini kuwa, wafugaji hasa wa kuku wa kisasa na nguruwe nchini Tanzania, wanatumia dawa za kufubaza makali ya Virusi vya Ukimwi (ARV) kuongeza utagaji wa mayai kwa kuku na kuongeza ...