MetLife Stadium huko New Jersey, Marekani, itashuhudia pambano la kutikisa dunia usiku wa leo, wakati Paris Saint-Germain (PSG) wakivaana na Real Madrid katika nusu fainali ya pili ya kombe la dunia ...