Utafiti mpya umebaini kuwa, wafugaji hasa wa kuku wa kisasa na nguruwe nchini Tanzania, wanatumia dawa za kufubaza makali ya Virusi vya Ukimwi (ARV) kuongeza utagaji wa mayai kwa kuku na kuongeza ...
Watu wengi hula kuku. Hata hivyo, je, kuna vitu vyenye madhara na kemikali kwenye kuku wanakula? unaelewa jinsi ya kujua hilo? Kulingana na data iliyotolewa na Idara Kuu ya Uvuvi na Ufugaji Wanyama ...