Mitindo ya nywele ya kusuka kwa kuongezea nywele zingine bandia ama asili ni maarufu sana kwa wanawake weusi, ikiendelea kupendwa na watu mashuhuri na akina mama wa ukoo. Lakini sasa, maswali ...
Maelezo ya picha, Marlène-Kany Kouassi ni mmoja wa washindi wawili pekee wa taji la Miss Ivory Coast katika kipindi cha zaidi ya miongo sita waliovaa taji lao juu ya nywele zao za asili. 6 Aprili 2025 ...
Nchini Ivory Coast vuguvugu jipya linakuwa. Linabadilisha urembo wa kitamaduni kwa aina yake. Wanawake wapigia debe mitindo ya nywele za asilia na wangelipenda kuwa kielelezo chema kwa bara zima.
Vjana wamekuwa wabunifu katika mitindo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mavazi na hata mitindo ya nywele, hoja hapa si kuibua mitindo na kupendeza tu, bali wanaweza kujipatia ajira na kuajiri watu ...