Nyimbo mbili za Diamond Platnamz ni miongoni mwa nyimbo zaidi ya 10 zilizopigwa marufuku kupigwa katika radio nchini Tanzania. Nyimbo kadha za wanamuziki Ney wa Mitego, Roma Mkatoliki, Jux na Barnaba ...
Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo nchini Tanzania imemshutumu mwanamuziki maarufu Diamond Platnumz kwa kauli aliyoitoa kuhusu kufungiwa kwa nyimbo zake mbili. Waziri Dkt Harrison Mwakyembe ...
BAADHI ya wanamuziki wakongwe wa Bongo Fleva, wameizungumzia mitandao ya kijamii namna inavyorahisisha kazi zao kuwafikia kwa ...