Kauli hiyo inafuatia aliyewahi kuwa Waziri wa Sheria, Martha Karua, Jaji Mkuu wa zamani Willy Mutunga na wanaharakati wengine wawili, kuzuiwa kuingia nchini Tanzania. Lizzy Masinga & Abdalla Seif ...
Akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam, Msigwa alivitaja vyombo vya habari kama BBC, CNN, Aljazeera na DW kuwa miongoni mwa vyombo vilivyoripoti kile amekisema habari ambazo ...