Si hadithi ya kufikirika, si fumbo la kitabu cha fasihi, bali ni simulizi hai ya mwanaume halisi, Juma Hamis Sakume, mkazi wa Singida, ambaye manyoya ya kuku wa kienyeji yalimfungulia mlango wa ndoa.
Ufugaji wa nyuki wa kisasa katika nchi za afrika mashariki kumesaidia kuzalisha kipato kwa wafugaji, lakini kwa nchi ya Tanzania ufugaji huo una madhumuni mawili ambayo ni kusaidia katika kuingiza ...