Idadi ya watoto wanaozaliwa kwa msaada wa mbinu inayotajwa kitaalamu kama pioneering technique ambapo huzaliwa kutokana na maumbile kutoka kwa watu watatu inaongezeka. Lakini inafungua mjadala mpya ...
KATIKA kuhakikisha vitendo vya ukatili kwa watoto vinakomeshwa kwenye jamii, serikali iliweka miongozo mbalimbali ya kuweza ...
Mamlaka ya magereza Uganda yamefichua kuwahudumia watoto wachanga zaidi ya 290 wanaoishi na mama zao wafungwa, hali iliyozua ...
Afrika Kusini inashuhudia kampeni kali ya kupinga watoto wa wahamiaji kupata elimu katika shule za umma, hali inayozua hofu, ...
"Nini hatma ya watoto wanaokumbwa na njaa? Je, watapata wa kuwaokoa au watakufa? Mtoto wangu Ali amekwisha kufa." Baba yake Ali, mtoto mchanga wa Kipalestina ambaye alifariki hivi karibuni kwa ...
Mkuu wa shirika la misaada la kimataifa anaonya kwamba mustakabali wa mamilioni ya watoto uko hatarini kutokana na kupunguzwa kwa misaada ya kigeni na Marekani, jambo ambalo linawazuia kupokea msaada ...
Ripoti muhimu imefichua kuwa Service Australia ilikwepa kwa makusudi sheria za malezi ya watoto kwa muda wa miaka sita, ikiwa ...
Akraba ni jambo la natija sana. Akraba hutoa upendo, msaada na mshikamano. Nchini Ujerumani kuna aina tofauti za akraba. Kila akraba ni ya kipekee. Katika akraba nyingi, wazazi wote wawili wanashiriki ...
Nchini Kenya Watoto walio na ulemavu nchini kenya hasa maeneo ya mashinani wanazidi kupitia changamoto si haba ukilinganisha na wenzao wa mijini.Hii ni kutokana na ufukara unaozidi kuongezeka ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results